
Moja ya Madarasa yakiwa yameharibiwa vibaya na Mvua na kusababisha kuezua paa na kubomoa Darasa hilo

Hivi ndivyo Darasa hilo Lilivyo Bomoka Baada ya Mvua hizo kuezua Paa

Baadhi ya miti ikiwa imeangushwa chini na mvua kubwa iliyo sababishwa na Mvua kali iliyo ambatana na upepo mkali na radi,

Nyumba ya Mwalimu ambayo ilikuwa inajengwa na paa Juu likiwa tayari lakini , mvua kubwa imeliezua

Hili ni Paa la nyumba ya Mwalimu ambalo limeezuliwa na mvua.
Picha na Joshua
No comments:
Post a Comment