Hili ni Gari dogo likiwa linatumika kusafirisha abiria baada ya daladala hizo kugoma wakipinga faini wanazotozwa na trafiki ni kubwa , na baadae madereva wa
daladala kusimamisha na kushusha abiria hao.
Pikipiki aina ya Toyo maarufu kama (Kilimo kwanza) ikiwa imebeba abiria kutokana na shida ya usafiri jijini Mwanza mda huu baada ya madereva
kugoma...
Chanzo; Mwanza yetu Blog
No comments:
Post a Comment