Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, March 20, 2014

AJARI YAUA WATU WAWILI SABA WAJERUHIWA MKOANI LINDI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiISh-4o8LoTc_VoM5k1z31sqeqoZfYN_oOSd6LsG7os7Sp-AN50y7juoO6RvUTBI99OV6LRJvGU5xvm5ALqSFxOQkjeQTrXLW64q-D99CcLE9aBYpBFfUs-19HpaU-8W9yUIWIqyRn5FDP/s1600/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpgWatu wawili wamefariki dunia jana baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa.
Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja.
 Picha na Abdulaziz Video.

No comments:

Post a Comment