Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, March 19, 2014

PICHA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI KIKIZINDUA KAMPENI KATIKA JIMBO LA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014.
Matembezi yakiendelea.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili.



No comments:

Post a Comment