Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, March 21, 2014

NEWS;LORI LAGONGA MAGARI MATANO NA PIKIPIKI BAADA YA KUSHINDWA KUFUNGA BREAK UBUNGO JIJINI DAR

 uokoaji baada ya ajali kutokea hapo linaonekana basi la abiria (UDA) likiwa limenyanyuliwa juu
 basi kampuni ya uda jinsi lilivyo gongwa
 umati wa watu ukiwa unashuhudia tukio la gari kugonga magari
 washuhudiaji wakiwa katika hari ya mshangao
uokoaji ukiwa unaendelea

Ajari ya lori imetokea ubungo geti la kutokea baada ya lori hilo kushindwa kushika break ambapo limegonga magari mengine matano na pikipiki moja  

No comments:

Post a Comment