![]() |
Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa waTanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi |



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji mwenye asili ya kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la ng’ombe katika kijiji cha Msomela wilayani handeni jana

.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Bwawa la Maji la Mkata wiklayni Handeni jana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni jana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi baada ya kulizindua huko Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga jana asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
BOFYA HAPA ULIKE NA PAGE YETU
No comments:
Post a Comment