Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, April 16, 2014

BREAKING NEWSS::LIPUMBA NA PAMOJA NA WABUNGE WENZAKE WA CHAMA CHA CUF WAMEACHA KIKAO CHA BUNGE LA KATIBA NA KUTOKA NJE


Mwenyekiti wa Cuf bara Ibrahimu Lipumba ametoka nje ya bunge maalumu la katiba huku wabunge wengine wa cuf wakimfuata,chanzo cha wao kutoka nje ni pale alipochangia hoja na kumalizia kwa kusema wanahitaji kujua gharama za marekebisho ya jengo hilo la bunge hivyo CAG aitwe na jae aeleze.Tutakuletea taarifa zaidi endelea kuwa nasi

No comments:

Post a Comment