Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, May 5, 2014

BARABARA ZAGEUZWA MADAMPO HALMASHAULI YA JIJI LA DAR ES SALAAM HALIONEKANI HILI

Hali hii iko barabara ya Morogoro road kuanzia Magomeni mpaka Shekilango na kukuta malundo ya taka ngumu yakiwa yamekusanywa kwa mafungu mafungu namna hii.hapo ndipo swali likanijia,kwamba hivi uhifadhi taka wa namna hii umeruhusiwa kisheria ama ni ndio mambo yetu yake yale kuleana.?? na kama ni Sheria ni ipi inayoruhusu uchafuzi wa mazingira namna hii?? picha hii imepigwa Magomeni Kagera.
 mbele kidogo ya kituo cha Magomeni Kagera kuna lundo lingine kama lionekanavyo pichani na nyuma ya taka hizo kuna mgahawa wa Mama ntilie ambaye anawauzia watu Chakula. 
Hili lingine liko Manzese karibu kabisa na Kituo cha kwa Bahresa.

No comments:

Post a Comment