

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za
uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba,
mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia
kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia
kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Kikwete. Picha na OMR



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Kiongozi wa mbio za
Mwenge Taifa, Rachel Kasanda, baada ya kuuwasha rasmi wakati wa Sherehe
za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa
Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo
unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo
zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Jakaya Kikwete. Picha na OMR
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabian Masawe, akipokea Mwenge
wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge Taifa, Rachel Kasanda,
baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa Sherehe za uzinduzi wa
mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba
Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio
zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete. Picha na OMR
Vijana wenye dhamana ya kukimbiza mwenge wa Uhuru 2014,
wakianza rasmi mbio hizo baada ya kuwashwa na kukabidhiwa na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye
Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge
huo unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo
zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Jakaya Kikwete. Picha na OMR
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akishiriki kuimba wimbo wa Taifa.

Vijana wa Haraiki wakionyesha umahiri wao kwa kutoa burudani.
Wasanii wa bendi ya Kakao ya mjini Bukoba, wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo.
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya kutoka mjini Zanzibar, It, akiimba wimbo maalumu wa kuhamasisha mbio za mwenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wananchi wa Mkoa wa Kagera, wakati wa Sherehe za
uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba,
mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia
kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia
kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Kikwete. Picha na OMR



Baadhi ya wageni waalikwa, Wakuu wa Wilaya za mkoa ya Tanzania Bara na
Visiwani, waliohudhuria sherehe hizo za uzinduzi. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment