Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, May 7, 2014

MWANAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA KEYSHA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME AMBAYE NI MTOTO WAKE WA PILI PICHA ZAKE ZOTE HAPA

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.
Chanzo Bongo5

No comments:

Post a Comment