Baadhi ya abiria wakiwa wamechanganyikiwa baada ya basi hilo kupata ajali
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.


BASI LA KAMPUNI YA PRINCESS MURO LIMEPATA AJALI NA KUPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI ABIRIA KADHAA WAMEJERUHIWA.
HABARI KAMILI ITAKUJIA ENDELEA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment