
Kamera kwa siku ya leo hii imeweza kunasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika
jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es
Salaam.
Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa
harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo
ambayo waliikuta ikiwa imeharibika kwa kiasi kikubwa.

No comments:
Post a Comment