Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, May 12, 2014

NEWS:RADHI KWA PICHA HIZI-;MAUAJI YA KUTISHA YAZIDI KUSHIKA KASI KAHAMA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga

Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya  Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama  Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga  jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga...

No comments:

Post a Comment