Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, May 8, 2014

NEWS::MAZISHI YA ALIYEKUWA KADA WA CHADEMA GERVASA KALOLO MAMIA WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO

Hapa ndipo atakapo pumzika marehemu Gelvas Kalolo
Huu ni Msafara wa kuelekea Makaburini
Mwili wa Marehemu ukiwa unawasili Makaburini
Mamia ya watu wakishuhudia mwili wa Marehemu
Watu Mbalimbali wakiwa wanaendelea kusogea makaburini

No comments:

Post a Comment