 |
RACHEL HAULE ENZI ZA UHAI WAKE |
:Recho Haule amefariki dunia
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia
asubuhi hii. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua. MUNGU
AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
No comments:
Post a Comment