Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, May 14, 2014

WATELEKEZA GARI BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO PEMBEZONI MWA BARABARA

Gari lenye namba za Usajili T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari hilo ambalo kwasasa huwezi kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na kupelekea kuwa kivutio kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia wakiliangalia gari hilo lililoteketea kwa moto
Wapita Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari
Kijana mpita Njia akilipiga picha
Mmoja wa wapita njia akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea Magari.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment