

MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa kwa kukatwa viungo vyake na kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko
Bariadi mkoani Simiy
Nughu Mlemavu wa ngozi ambaye ameuawa kwa kukatwa mapanga kwa baadhi ya viungo vyake na kuondoka navyo
Viungo vilivyo katwa ni mguu
wa kushoto na vidole vitatu na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
No comments:
Post a Comment