Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, June 19, 2014

AJALI KATIKA DARAJA LA KINYEREZI MAJUMBA SITA AMBALO HALIJA MALIZA HATA ROBO MWAKA

 Roli likiwa limedondoka pamoja na Daraja Eneo la Majumba sita
 Wakazi wa Eneo hilo wakitazama ajali hiyo iliyotokea jioni ya leo
 Kama Unavyoona Roli limeng'oa daraja na kudondoka hivyo njia haipitiki

Wakazi wakinyerezi poleni tumieni ya segerea na mongolandege hili la majumbasita limekua hiviii.

No comments:

Post a Comment