Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, June 4, 2014

PICHA: MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES CLUB

  Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.
 Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam  kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
 Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi. 
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment