Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, July 24, 2014

MAJANGILI WATATU WAKAMATWA KWENYE HIFADHI YA SERENGET


Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi!
Wimbi la kuongezeka kwa majangili limeendelea licha ya kuwepo kwa ulinzi katika mbuga  zetu za wanyama. Hii ni kutokana tukio lingine lililotekea kwenye hifadhi ya Serengeti ya kuwakamata majangili, ikiwa ni siku mbili tangu kuondoka kwa mmiliki wa Singita Grumeti ambaye alikuwepo kwa wiki mbili kama ilivyo utaratibu wake wa kila mwaka.Askari wake  wameendelea kukamata majangili ambapo usiku wa kuamkia leo wamewakamata majangili watatu wakiwa na swala.

Swala aliyeuawa na majangili hao
 

swala aliyekuwa kauawa akiwa kapakiwa kwenye gari kwa ushahidi.

No comments:

Post a Comment