Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, July 3, 2014

NEWS:PICHA ZA AJALI ILIYO TOKEA BUNJU LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Uzembe wa madereva ndio chanzo cha ajali nyingi hapa nchini  hii imedhihirika  hapa jijini dar maeneo ya bunju  siku ya leo 
Ambapo dereva wa lori alikuwa kasi kwaajili ya kutaka kulipita gari dogo aina ya noah lililokuwa mbele yake wakati huo gari hilo dogo lilikuwa likikunja kona kwaajiri ya kuingia sehemu
Hakuna taarifa ya kifo iliyo thibitika mpaka sasa katika ajali hiyo


No comments:

Post a Comment