Saturday, August 9, 2014
BASI LA KAMPUNI YA FIVE ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LIKITOKA MTWARA KWENDA DAR
Hili
ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya
Mtwara na Dar es salaam limeungua leo asubuhi ya August 09 likitokea
Mtwara kuelekea Dar es salaam. Taarifa
ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya
kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa
Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment