Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, September 8, 2014

NEWS:BASI LA ABIRIA (AIR BUS) LILILOKUWA LIKITOKEA DAR AS SALAAM KUELEKEA TABORA LAPATA AJALI KIENGEYA,GAIRO

 Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita
Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo.

Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.

“Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja.

Baadhi ya mili ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo

Ajali hiyo imetokea siku chache tu baada ya ajali nyingine ya mabasi mawili iliyotokea Musoma na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35.
Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja

No comments:

Post a Comment