Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, December 5, 2014

AJALI YATOKEA MKOANI MBEYA BAADA YA BASI KUGONGANA NA LORI

Baadhi ya Abiria walionusurika kifo kwenye ajali hiyo wakishangaa.
Baadhi ya Makodakta wa basi hilo badala ya kujali roho za watu wao wanahangaika kuziba jina la Basi,  ajali hii imetokea leo asubuhi maeneo ya mlima nyoka zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo
Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo

No comments:

Post a Comment