Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, March 13, 2015

LORI LA MIZIGO KUGONGANA NA BASI LA ARUSHA EXPRESS LEO

Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa watu ndani ya lori ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.

 BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele yake. Ili kuepesha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo lakini ilishindikana.


Basi la Arusha Express baada ya kupata ajali.

No comments:

Post a Comment