NEWS:BWENI LA WANAUME MABIBO HOSTELI LATEKETEA KWA MOTO
Kwa taarifa ambazo zimetufikia muda huu zinadai kuwa Bweni la Wanaume Mabibo Hosteli jijini Dar es Salaam linaungua moto muda huu, bado sababu na chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment