
Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine 15 kujeruhiwa baada ya basi waliokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Shinyanga kupinduka mkoani Morogoro. Kwa taarifa za mwanzo zinasema kuwa watu waliokuwa wamepada basi hilo ni mashabiki wa Timu ya Simba waliokuwa wanatoka Dar es Salaam wakielekea Shinyanga kwa ajili ya kushabikia timu yao ya Simba katika mechi iliyokuwa inawakabiri hapo kesho.

Askari wa kitengo cha usalama barabarani, akichukua maelezo ya ajali kutoka kwa mmoja wa abiria waliokuwa kwenye gari ilo

Muonekano wa basi la mashabiki wa timu ya simba mara baada ya kutolewa sehemu lilipo pata ajali hiyo

Askari polisi wakiwa na mashabiki katika picha wakati wa kuchukua taarifa za ajali hiyo
No comments:
Post a Comment