
Dj Rankeem Ramadhan enzi za uhai wake.
Dj Rankeem Ramadhan amefariki dunia leo mchana.
Marehemu aliwahi kufanya kazi Radio One, Clouds FM, Radio Free na kupiga disco katika kumbi mbalimbali,tumuombe Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
No comments:
Post a Comment