Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, March 25, 2014

NEWS:MKUU WA MKOA WA MARA,JOHN TUPPA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA KWENYE OFISI YA MKUU WA WILAYA YA TARIME


Mkuu wa mkoa wa Mara John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla wakati akitoka kwenye Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Tarime John Henjewele alipokuwa anajiandaa kwa ziara ya kutembelea wilaya hiyo.
Inaelezwa kuwa Tuppa alipotoka ofisini kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime Henjewele alikuwa akitaka kuingia katika gari lake ili aanze ziara ndipo alipoanguka chini na kuanza kutoa povu, alikimbizwa katika hospitali ya wilaya kwa ajili ya kupatiwa matibabu lakini alifariki dunia muda mfupi.

LIKE PEGE YETU KWA KUBONYEAZ HAPA

No comments:

Post a Comment