watu 8 wamefariki dunia na
wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi mkoani kigoma eneo la Kibirizi ,wakiwemo wanafunzi 7 na mwalimu 1 wamefariki dunia kutokana na mvua kubwa
iliyoambatana radi
endelea kufuatilia taarifa
zetu kufahamu zaidi.
Chanzo ITV Tanzania
No comments:
Post a Comment